FULL UKAKAMAVU WA JKT,MBWEMBWE WAKIHITIMU MAFUNZO YAO KIGOMA

FULL UKAKAMAVU WA JKT,MBWEMBWE WAKIHITIMU MAFUNZO YAO KIGOMA

Share This Content
Haya ni maonyesho ya kufunga mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria katika kambi ya Kanebwa Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma.

Hapa ni Vijana wa JKT kwa mujibu wa Sheria (2019) wakionyesha ni jinsi gani walivyoiva kwa ukakamavu wa mazoezi mbele ya mgeni rasimi Mkuu wa wilaya ya Kakonko kalnali Hosea ndagala.